My campus sweetheart.

Back when I was in campus, my first love was alcohol. I had broken up with some girl tulitoana high school so ata sikua na haraka na madem. And rightfully so since I used to go drink with some two chics almost everyday who lived together and I was ferkin both of them depending on who I get at their house akiwa pekee yake kama mwingine ameenda class.
Fast forward to 3rd year, kuna mrembo flani 1st year alihamia kwa plot nilikua naishi na my 2 friends in a bedsitter. Alikua very beautiful and within no time my 2 buddies wakaanza kua na some subtle competition to impress her. Walikua hata wanamleta kwa hao for lunch, kumtake for dates, taking her for smokies etc. Mm nilikua tu life yangu ya pombe na bangi ata attention sikua nampea.
Anyway, ilikua hivi hadi vitu ikaanza kua weird. The girl would come sometimes, alafu tunapigana masmile chini ya maji. Kumbe dem alikua ameninoki.
So anyway, day flani nilikua nimetoki ulevi nikaskia harufu za chapati from her house nikasema wacha nimgotee, mark you sikuwai nimewahi kanyaga kwake. Long story short, nilipewa slices usiku yote dryfry nikarudi kwangu kitu 4am. The following day nikishawa, nikaskia ameingia kwa hao yetu akaniulizia, so my friends wakamsho niko kwa bafu, manzi akaingia ndani ya bafu na kusimama ndani sahizo I am butt naked. My guys ilibidi tu wajijazie. Hapa sasa ndio rship yetu ikaanza. During the course of the rship in campo nilikua a very bad guy, very disagreeable na yeye, only took her for a date once in 1 year, made her cry a few times, kazi ni kufika drunk 12 usiku mpaka alikua tu analianga vile simtreat poa na mi si mromantic. Hii lack of romance was just me ata haikua maksudi. The only romantic thing I ever did ni time flani valentine kuna friend wangu alipelekea dem yake maua so mi jioni kupitia kwa huyo beshte, nikacheki maua hapo nikaamua kurecycle nikapeleka dem yangu. Alifurahi sana na kupost everywhere and of course slices vinoma.
As fate would have it, after like 2 years nikaanza kufall in love na yeye sasa. I could feel it in my heart nimependa ata yeye mwenyewe alirealize tu. Nikaanza kukua mromantic ata nilikua nalete chocolate and I just became soft. Wadau kumbe hapa ndio niliharibu na character development ikaingia gym ndio ikam ininyoroshe proper…

Ok, noted with thanks.

Boss pliz wacha umama kama una peana hekaya peana yote

Amka usikojoe kwa kitanda banae.

Ingekua ndefu zaidi Elder.

Ujinga thread

Hapana kojolea thread safi you dimwit.

Ebu deactivate hiyo BOT yako ya kuulizia bei ya shot.

Hawa wanawake huwa viumbe vya ajab, kukuwa romantic ni ku spend money on them, ungeedelea kukaa ngumu na yeye ki military…usiwahi legeza na hawa watu.

Its life.it be like that sometimes

Gen Z wanahemesha elders banae. Sentensi murefu Hadi hakuna commas,full stop wanataka tusome ni kama tunakimbizwa.

Mapenzi iliingilia kati na usually ikifika hapo mwanaume unakaliwa chapati sawasawa.

Buda ulikuwa unasoma saa ngapi?

Ata sisi hukaliwa hadi tunazaa coz of love… its human to fall in lov

It is human. Na wewe mwenye unapiga wanaume 4 sweeps kwa thread moja unawesa penda kweli.

Campus I just got by. Karibu ata niwache.

Napenda sana an intelligent man mwenye ako humble. hmility = intelligence

Ata mimi … but singewacha. karibu nipatie lec slices .

kumbe ukiona cert yangu ya KCSE with only straight As naweza con wewe unipee roho yako.

Uko sure hukupatia yeye.