Niaje wazito its my bday bash leo but niko tu solo since ma beste wangu in real life walinishuka and nko Tz… enyewe hii sio issue na sex but nataka tu share zangu za leo… niko ndethe na tu beer kadhaa but naendea zingine shortly… ivi ndo najiachilia leo but hizi photo hamutaona sehemu zangu nyeti
Wako wapi wassupa wqtz
Too many gay’s in this village now.
Its time to come out of the kabati:meffi:
Meffi tu
Evidence ya nini sasa kama hauna ngeos?
Sasa tumbo imezoea legend si ukikunywa serengeti utapata food poisoning :D:D:D:D
Hehehehe… fala hii sasa u mean leo ntaharisha?
Leo na itake easy. Miaka zote nimeishi kupanda gals bday ya mine but nataka change this tym
Hio ni town gani Samosa?
Niko handeni
Happy birthday basi