Mwosho moja

Another scam loading soon…
[ATTACH=full]444880[/ATTACH][ATTACH=full]444879[/ATTACH][ATTACH=full]444878[/ATTACH]

15% itokee wapi?

Nilikuja kugundua kuna watu huwa tu na fetish ya kuscamiwa. Yaani ghaseer inakuambia very confidently vile amekuwa conned mara tano in his life, and all five cases are just variations of the same scam. The only conclusion is that person gets turned on by being conned, even if they don’t admit it.

Yaani 1M inazaa 1.3M in just 6 months?

:D:D:D:D:D you can invest as low as 50k , hizo 'low’50k za hustlers Dio Target

Ati 15 percent a month. How now. Too good to be true

Nairobi ni nono, ukiwa na akili hautalala njaa. Hakuna sheria inapinga kumtenganisha mjinga na hela yake.

Hustlers motto? Hii msemo ujanja ulifuzwa na lootall ama gasagwa

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Mimi huuliza, Wakenya hujifanya watoto wanyonyeshwe na nani? Eti 15% pm. Unferkingbelievable!

Ukiona tu.

"a tradition of trust’ ,hehehe
a tradition of trust condoms maybe…

How i see kenyan fools that need to be scammed[ATTACH=full]444975[/ATTACH]

there’s a name for that: MUGO.
there was a guy in roysa. he was like a training ground for wash wash. he got finessed over 30 times

Kaguka hujakufa bado?