Hehehe…you are an evil man
What??? That shit happened so long ago man, what took the courts so long to prosecute those goons?
Hehehe…you are an evil man
What??? That shit happened so long ago man, what took the courts so long to prosecute those goons?
Welcome to Kenya . Some of these judicial processes need to have time limit . A specific case has to be finalists by 3 months . Otherwise a case will drag for ever
shemeji saa zingine kuwa tu unaongea kiteso!
Waaahhhh baada ya miaka mingapi.Enyewe justice is expensive in Kenya
Na indeed ni ukweli.
Watu wanapost vitu unbalanced hapa na ni annoying sana
Juzi I called out another
kwani alikua anaiba mpya kwa duka
He he osungu saa zingine hunichenga unwillingly . Samehea shemechi
@Kirwa @pamba last weekend nilipitia huko soweto. Wacha tu niseme hiyo area code iko na hewa tu ya ujambazi. Na kanini bumps za huko ni kubwa hivol?
These cases takes long because defence side have to make several applications to demonstrate innocence on part of their client at the same time the more a case drags kitunguu inanukia proper kwao and at the same time the prosecution have to make a water proof case to warrant a sentence @Nananimpa kuja kiasi.
Si hii tuliona kwa video venye walifanya msichana wa wenyewe.Enyewe wacha watu wakule pakitokea ka mwanya…may they be jailed and rot in there.Mnafaa sasa mshike mmoja wa “Nawasuku” sacco na apate dawa kama hiyo.Hao vijana wamemea pembe pia
Lata complaint tufungue kesi,shida ya wakenya hawapendi mambo ya kuenda Ku testifying,kelele tu.
If I was one of those guys ningekuwa Dar saa hizi. They’ll get 20 to life for nothing.
You just stay away for 10 years and then sneak back to Nairobi pole pole.
Ngoja saa tatu kamili naona watakua funzo kwa kina @Mzee mzima
faga wariah jinga
Nisaidie hio video ni wank nayo
Kuna time Wahome Thuku stated that he had seen them in court almost a year after the incidence
Three men charged with sexually assaulting and violently robbing a female passenger in Githurai in 2014 found guilty; sentenced to death. pic.twitter.com/UIE7viW6Jw
— Citizen TV Kenya (@citizentvkenya) July 19, 2017
as ofisa @pamba predicted!
Naskia anaitwa Onyango na alikuwa jambazi sugu.
@pamba please confirm kama huyu ndio walishoot my friend in Mihango some three weeks ago.
Sadly, he died on Sunday after 2 and a half weeks in a coma.:(![]()