Mwizi wa hekaya

https://www.facebook.com/saimon.muthama

Saimon Muthama a.k.a Makaveli wacha kuiba hekaya hapa na kupeleka kwa groups za fb eti wewe ndio umeandika, jamaa amekua akijichocha na hekaya za hapa alafu hapo chini anaandika “follow me for more”

[ATTACH=full]104714[/ATTACH]

[ATTACH=full]104713[/ATTACH]

anakaa tu mwizi, @admin hebu mulika yeye tujue ni nani hapa?

Kwani unafikiria vitabu ulisoma shuleni ni wewe ulikuwa was kwanza kuzisoma? Wacha mchamaa asharee creativity yetu

1 Like

Aitiwe hessy.

He is a terrorist na vile umeona, forgiving a terrorist is left to God.

2 Likes

The guy does not even bother to edit the stolen content. Sasa hao watu wa fb watajua aje @pamba ni nani?

7 Likes

Hahaha, umefanya nikarudi kutafuta Pamba hapo juu

Huoni yeye ni member wa DANDORA CRIME FREE…?

@makavelli = @Ka-Buda I guess najua who this saimon makavelli is … kikikiki

I have never been on Facebook.
Ma ya Gai!

@kiprunner !

mwisi akipatwa achomwe

naona tutawachoma kadhaa humu pia

This is a genuine fear.
That the next NV from FB could just see me in my jalopy like @Philip J. Fry did and air me out to dry.
Shait.

Achomwe mwizi

Mmmmmhhhh. Indaresting… but nothing new, anyway. KTalk is quoted all over “mainstream” media - without acknowledgement of course!

jamaa amegeuza my story kuwa yake

1 Like

Huyo ni jirani trust me,amepeleka hekaya mingi huko zingine anatoa ile mukuru yao na Wakayama akijaribu marketing lakini wapi.Jirani when will you grow up?

1 Like

Hii mukuru ya zukapaka ni noma. I met one of my hekayas pale Kilimani mums. I guess ni @culture aliipeleka huko

:D:D:D:D:D ama @Tom Mbayeye