' Mwizi... mwizi...mwizi'.... Kenyans chant at uhuru gardens

https://x.com/i/status/1867171671804965187

8 Likes

Na mwizi mwenyewe anainua mikono kusurrenda :green_emoji:

5 Likes

Kelele za mkundu hazipasui choo

4 Likes

Ruto sympathiser tunakuona

3 Likes

Umejibu haraka kwani huna kazi?

Leo ni public holiday

1 Like

Oops polep

1 Like

https://x.com/Josh001J/status/1866774763647144193?t=jDYzgjrYAw_6tYzAWRgkdw&s=19
Shika yye :grin:

5 Likes

@WasikA niaje, naona boss wako anamalizwa kila kona. Sema kitu, angalau mfuasi sugu tambulika ya Rutoh kaka @Wakameat asijihisi ako pekee yake kwa hii vita.

4 Likes

Naona iebc ita rudishwa 2027

1 Like

Machoos Kwa city dwellers Nani aliwatuma huko kama so kuwa idle