Mwito kwa Watanzania.......

Kila mtu mwenye akili timamu na ambae kweli anaipenda nchi yake naomba aelewe na kukumbuka yafuatayo:

  1. Tanzania itaendelea kuwepo baada ya Magufuli na ccm.
  2. Ccm hawajawahi na hawataweza kushinda uchaguzi wowote wa haki na huru kwa mazingira ya sasa (na wanalijua hilo more than anyone else)
  3. Ni uoga wetu ndio unaotuangusha kama taifa. Ila kumbuka wewe unaeogopa leo ( kwa sababu yeyote ile unayoamini ni sensible k.m kupoteza kazi, kufungiwa biashara yako, kufungwa n.k) kuna siku - na haiko mbali- utazuwiwa kufanya unayoyafanya leo (mmiliki wa daladala leo hii ni shahidi wa ninachokiandika hapa leo hii - ni nani anaweza kuweka daladala yake barabarani kama yeye/kondakta/dereva hawapi zile 200 wapiga debe vituoni?). Hao wanaodhibiti wenye daladala ni wale wasiokuwa na ajira rasmi na hawaogopi kupelekwa polisi wakivunja kioo cha gari lako usipowapa hiyo 200 kwa kuwa wanajua polisi huwa wanawaweka selo watu wenye uwezo wa kutoa rushwa). Wakiongezeka watu wa aina hii hakuna jeshi au polisi watakaoweza kuwazuia (mkumbukeni Ceaușescu wa Romania - watu walikuwa wanamwagika barabarani bila kuogopa kuwa wenzao wanauawa hadi wanajeshi wakagoma kuendelea kuua watu). Hii si era ya kuruhusu kina Magufuli kuua future ya mtoto au mjukuu wako.

Amka Mtanzania, Magufuli ni MWIZI KAMA MWIZI YEYOTE YULE

Time will tell…

Cc: @Mahondaw

Guys; nchi yetu inaelekea shimoni. Anaetupeleka huko alituambia “we are in the right track” bila kutuambia to which direction!! We might be in the right track but in the wrong direction (and giving credit when due - kuna ideas anazozisema zina-make sense but only when implemented in the right way). Sasa (especially kwa wale wapiga makofi na kusema “ndioooooo”) tunakoelekea ndio hata yeye mwenyewe - akiamua kuwa mkweli- ndipo anataka tuende. Wandugu; hapa mlipo msitoe details zenu kama hamjaamua kujitoa kama nilivyoamua kujitoa. Tunafuatiliwa na tunaweza kupatikana. SITANII; I know what price I will pay by doing what am doing now. But I have no choice; OUR COUNTRY NEEDS YOU

Na sijachagua ID niliyoichagua kwa bahati mbaya. Mungu wa Israel ninaemuabudu akiruhusu I will GLADLY DIE FOR SAYING THE TRUTH.
Stroke kawaambie wanaokutuma

Mkuu huwa nafanya Mjadala na members wengi tu publicly na hata privately ni uamuzi wako tu mkuu;

Acha kutumika wewee kama toilet paper…
Ona ulivyoachwa mtupu.

Hakuna lisilo na mwisho haya nayo yatapita hasa pale tutakapozungumza lugha moja

COMRADE POWER

Muda utaongea

Umeongea pointi tupu mkubwa…mataifa ya kiafrika hayaendelei kisa ya viongozi wasio na hekima…

imekuwaje @Mfiaukweli amemtaja @Stroke ?

Naona watawala wanazidi kutungisha mimba za uchungu kwa watawaliwa ni Sala la MDA tu hawatoamini siku uchungu utapowazidia maana kiroho watakuwa wamekufa umebaki mwili tu.

Tumeshaelekea qibla tunasubiri kuchinjwa tu
Nalog off

Ni mfia Magufuli

muda utakuja,yote yatapita.

!
!
Maamae. Na Bado.

Kwanza ningependa kusema Mungu ni wa wote, NA sio wa waISRAELI, if that is the case than wengi tunadandia gari la watu.

Pili kuna usemi kill the devil but give it it’s due.
Magufuli ana mengi sana Mazuri NA machache mabaya, hapa tunayoyaona ni yake machache, NA mengine ni ya kutengenezwa na upinzani.

Mimi napenda ukweli, mengi anayoyafanya magufuli yatatuletea manufaa mengi in the next 3-4 years, EVEN ROME WAS NOTBUILT IN A DAY. Ninapinga siasa za Magufuli za uhuru wa kujieleza, Polisi kupewa uhuru wa kutenda watakalo, causing lots of pain to families. Longing linalo niuudhi ni huu Udini NA Ukabila anaotudundisha.

Hapa JF tulimrarua sana DR DAU kuhusu udini NA ajira, lakini cha kushangaza sisi wale wote tuliomsema sana Dau leo yuko kimya Magufuli anapoteua watu Dini yake tuu NA hatusemi kitu, lakini sisi dini yetu ikiguswa tuu mahodari kuropoka