Mwendo kasi sasa kila kona Dar es salaam Tanzania

While kenya painting ONLY BRT Tanzania building
[ATTACH=full]166142[/ATTACH]
UJENZI wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) maarufu mwendo kasi kwenda Mbagala na Gongo la Mboto, jijini Dar es Salaam, umepangwa kuanza mwaka huu.

Aidha, usanifu wa ujenzi wa miundombinu ya Dart, utakaohusisha barabara za Sam Nujoma, Bagamoyo, Bibi Titi na Ali Hassan Mwinyi zenye urefu wa kilometa 25.9, pia unaanza mwaka huu wa fedha. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo alisema hayo jana wakati akiwasilisha bungeni mapitio, makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi yake kwa mwaka wa fedha 2018/19.

Jafo katika kuzungumzia malengo ya taasisi zilizo chini ya ofisi yake kwa mwaka wa fedha 2018/19 ikiwemo DART, alisema ujenzi huo utakwenda pamoja na utekelezaji mpango kazi wa fidia ya makazi kwa waathirika wa mradi wa awamu ya pili na tatu na kulipa fidia kwa ajili ya mradi wa awamu zote. Alisema ujenzi wa miundombinu hiyo ya Mbagala na Gongo la Mboto, umepangwa kuanza Desemba mwaka huu chini ya awamu ya pili na tatu. Ujenzi awamu ya pili (Mbagala) utahusisha barabara za Kilwa, Kawawa, Sokoine, Gerezani, Bandari na Chang’ombe zenye urefu wa kilometa 20.3 na ujenzi utaanza baada ya kumpata mkandaras

https://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/27202-mwendo-kasi-sasa-kila-kona-dar

Kenya, a shitty country

are you really from india?

Are you from the Anus?

nope not familiar with the place like you are

Pongezi kwa ndugu zetu wa Tanzania.

Just leave India out of this anus thing:D:D:D!