Mwendazake Karol Wojtyla

Unajua yule mdem wa esto ukiwa mtoi alikuwa amekukosesha usingizi vinoma, yule dem yaani ukitumwa duka na mamako unachukua detour ndefu tu ndio upitie kando ya nyumba yao ndio tu uangukie umuone akianua nguo kwa kamba…
Yule dem yani mkiwa primo ulikuwa unajifanya mcatholic every friday morning ndio uende hiyo service ya catholics na sio CU…yaani huyo dem alikufanya ukule hiyo mkate ya holy communion ya wa catho mbele ya kanisa nzima ndio umuonyeshe eti wewe ni mcatho…
basss huyo dem kwa esto yetu alikuwa anaitwa Nkatha, na nilikuwa nimemkufa mbaya…shida yangu ilikuwa moja, ilikuwa dem hakuwai ongea na mimi…ilikuwa nikama hajui naishi ilhali tulikuwa class moja, esto moja na pia “kanisa” moja…majamaa niliumia siku mingi vile huyu dem alikuwa ananilenga, ndoto zangu zilikuwa
ma tele-nova mimi na yeye tukiwa main stars na kadhalika…
fast forward miaka kadhaa…niko pale luthuli naelekea shughulia zangu pale steps nipewe keg moja ya mia na hamsini halafu ni head west towards sj kumalizia siku…
naskia nyuma yangu pss pss pss “emali,oye emali” kuangalia nyuma na kutuka kiumbe cha mungu, kimeumbikia kuruka, lakini simfahamu…
"niaje mresh, zakupotea?"nikijaribu kujikumbusha huyu ni nani…“emali, long time, sijakuona tangu mhame esto tukiwa class 7, hunikumbuki na vile ulikuwa umenikufa?” nikashika rada mbio mbio…
Story zikashika, tukachapa hekaya za kale na kadhalika na tukaset date poa ya kumeet tuongee zaidi.
Nkatha alikuwa final year UoN, urembo ulikuwa ule ule, sasa viungo vya kike vilikuwa vimeiva…
Tulikutana mwendo wa saa moja hivi jioni kwenye club moja pale city center saturday iliyo fuata…
Nkatha aliwasili amevaa mini skirt, yale mapaja nilipoyaangalia nikaomba mungu anisaidie shuma irare mumo humo ndaaaani…
Tukachapa story kinywaji hapa na pale kisha tukaingia dancefloor nikalisugua lile tako vizuri bila pingamizi lolote kutoka kwa kidosho nikajua leo maombi yangu ya utotoni yatajibiwa…
mwendo wa saa tano hivi tukaondoka akaniambia nimzindikishe kwenda kwa hostel yake…
Tukafika akanikaribisha ndani ya room yake… tukaendelea kulambana, kudarana na mengineo, pale dem ameanza kutoa sauti sauti akipandwa na mori…nikamshow niaje siuwashe tv hivi ndio majirani wasiskie masauti zetu…
akawasha cnn kwa volume kiasi na tukaendelea na sauti zetu…mara yule reporter wa cnn akatoa breaking news… “John Paul II( born Karol Wojtyla) is dead”… nilimention Nkatha alikuwa mcatholic staunch kabisa? vile aliskia hivyo akaniskuma hadi nikaanguka kutoka kwa kitanda huku akimlilia yule papa marehemu…
nilijaribu kumconsole lakini wapi…akaniambia lazima amuomboleze yule papa…tukalala hadi asubuhi nikaenda zangu…baadaye alikataa kushika simu zangu…Nkatha pahali popote ulipo mungu akusamehe maanake mimi sitawahi kusamehea

30 Likes

Inakaa you weren’t hitting it good. If you did hit it good then JP’s death wouldn’t have mattered.just saying.

1 Like

Ulinyang’anywa nyama na mwenda zake? Ni ukweli. Some things are arranged by saitan…

3 Likes

buda cheza chini

1 Like

Hehee ati kupandwa na mori. Nani alikuambia ule holy communion? JP died for your sins, son.

:DSawa nimeshuka chini

Nkatha ni vaite,sio?

Meru

Msee bado amenoji aka kumbao

https://media.giphy.com/media/O5NyCibf93upy/giphy.gif

Niaje Mkubwa. Leta hekaya ya Brazil tutakulipia divorce lawyer.

religion is a complex thing.

Wewe wacha hiyo story mzito. Are you a fun of motor bikes

Cheza chini. Sikiliza wimbo wa Emali town choir polepole.

Sir God hakutaka uwe statistics !
Could that be the fist miracle The late Pope did !

3 Likes

nilikuwa nimejiami na kinga so singekuwa kwa statistics

1 Like

Pole mwanaume. Kuna mmoja nilifuata nine years.
After loosing interest in Her she came back and started dangling the carrot again.

Didn’t have the guts to chase Her once more. We both got married and we no longer talk or our paths cross.

2 Likes

hehehe pole kizee

saa zingine mungu ako na mzaha sana…imagine umeenda shopping ukanunua mchele ya pilau dania kuku nusu na kadhalika…umemarinate kuku usiku nzima…then uunde pilau yako pole pole na kamchuzi ka kuku…ujiandae kula alafu shetani pepo mbaya atume upepo hiyo chakula yako yote ianguke kwa matope

pikipiki as Honda ya boda boda ,ama kawasaki ya Kush. I seek clarity before answering this question.

:D:DKwani alidhania huyo pope ataishi forever, na vile alikuwa amegonjeka kabla aage dunia? #FerkKarolWojtyla