Mwas

Kuna Sato flani nikiwa nimechill tu mtaani, nilivutiwa na boyz flani beste yangu tulikuanga na yeye high school. Kuna venye alikuwa na kakitu after deal flani kuingiana. Alinivutia akidai nimjoin ndo tukate ile mbaya. Alikuwa akiitwa Mwas (huyu si ule alikuwa adunge @Starscream na sindano). Uzuri wa Mwas akikuanga na kakitu yeye hukuitia form. Nilifika hivo tao kitu kama 10 nikaenda hadi 64 lounge (formerly club bettyz) hapo kimathi street. Tukiwa ndani Mwas akaitisha Old smuggler mbili nikamshow angeitisha moja tuiangushe ndo tena aitishe ingine. Akanishow “we tall acha siasa kunywa pombe”. Niliichukua nikapiga shots ka tatu nikachorea. Mi najua pombe si supu. Kidogo Mwas ashajinyakulia ka rangi ya thao hapo alaa haraka sana. Sijui ka walikuwa wanajuana niliona wakipigana mate nikashtuka sana. How do you kiss some random girl in a club? Unaeza pata ni kiwhore. A club is not always the best place to pick a whore so hapo huanga nimeeka X. Kidogo nacheki amempeleka na sides za choo. Pesa ni kitu mbaya sana. 100% alimpeleka huko kumkamulia huko. Na sielewi alimpeleka aje na hakuna msee alileta noma.

After dakika mbao nacheki amerudi nkajua huyu amekulana. Mwas naye anaanza " Tall uyo dem walai si ni mtaro. Nimeingia ndani nikaskia ni kama naeza swim". Nikamwambia si ivo ndo ulikuwa ukitaka. Kidogo kidogo Mwas ananishow tusonge tuende zodiac. Zodiac nayo hainibambangi nikamshow tuende Waves iko hapo kando ya Zodiac akadinda akadai ni zodiac mwisho. Nikasema ni sawa we ndo mwenye pesa. Nikabeba old smuggler yangu niende nikiimalizia huko nje. Nilipiga sip tukiwa kwa njia Mwas akanishow nimdunge amalizie juu yake ule mdame alimkamua 64 alikunywa yote. Alipiga sip tu moja nikaskia kijana kuja hapa. Weeh! Kuzunguka tunacheki onyi. Onyi ni karau flani ashai tudandia tukiwa high school. Ilikuanga closing na tulikuwanga tukiranda randa tao usiku alitudandia manze ikabaki tumemuachia punch punch kila mtu. Mwas alishikwa akashindwa kuhepa ilibaki Mwas amemuachia kirwabe ndo aachane na yeye. Onyi na yeye alichukua dooh na chupa ndo akaachilia Mwas. Niko sure alienda kulandisha iyo tei uko mbele. Ndo hao sisi tumeingia Zodiac, Mwas ameitisha Frontera mbili. Nikamshow sikuangi fan wa wine ati wewe kunywa. Kidogo tena ameitisha mzinga moja ya William Lawson nikaona huyu msee hayuko serious. Yaani anadai tudedi kabisa na pombe. Saa hii ilikuwa saa nane usiku.

Alafu Mwas anaanza kunishow ati anadai kudinyana tena. Namuuliza lakini msee si umekamuana 64 ananishow ati lazima akamuane round two ndo atosheke nikamshow atulie ifike kitu 4 nimpeleke chuom yangu. Ubaya ya Mwas naye hapendangi kungoja. Kama anataka kitu yeye huitaka saa hio.Akadai poa. Tukaendelea kumumunya izo Frontera tukizimix na William Lawson. Mwas akanishow wacha aende anyore, kumbe ghasia haikuenda kunyora alienda kukamuana na huko Accra road. Nikashtuka aai kwani huyu jamaa alikuwa ananyora tank mzima ya 10,000litres niaje amekawia ivo. Nikacheki akinivutia kitu saa tisa hapo. Alinivutia akinishow, “tall kam na huku Tea room nimedandiwa manze”. Mimi naye nikamuuliza “We msee kwani ulienda kunyora tea room ukanyora kwa tea ya mwenyewe ama?”
Kinanishow “Zii nilikuwa nimeenda kutoa kutu”.
" Msee si nilikushow utulie ntakupeleka ona sasa ushakulwa juu ya ujinga yako". Nilienda hadi tea room nikapata amedandiwa na onyi. Huyu karau ako ka kwote. Onyi amenicheki ameanza zile za “We kijana mrefu si nyinyi ndo nimewashika na huyu kijana akona tshirt ya blue mkiwa mnakunywa pombe kwa barabara?” Mwas alienda kuongwa akapigwa kibare akaambiwa “nyamaza kijana we kwanza si nimekupata ukiwa juu ya malaya” ndo nitulize hii story nilidunga Onyi punch ndo akaachana na Mwas. Saa hio ilikuwa kitu 4 nikashow Mwas tuende mtaani juu enyewe alikuwa amelewa na alikuwa ameleta tu swara. Tukaenda home.

alafu sasa ukakamua mwas, humbwer!!

Hekaya haina kichwa wala mkia

:D:D

:D:D:D na vile jamaa amejikakamua kuandika

Huyo onyi anewazoea kuanzia Enzo zaa high school Hadi saa hii? Kijana unajaribu, hekaya inakuja mdogo mdogo.

sasa baada yako kukamua mwas ukakata brake za ashole sasa mwas anavanga diaper …:D:D:D:D:D:D

Uncle @uwesmake kuja na matusi huku:D:D:D:D:D:D:D

Huyo Mwas alikuwa na kiu aje

:D:D:D:D:D

Hehehh … mabeshte kaa hao huwa na uswara sana

i write you a prescription of two testicles… unaweza enda

onyi aliwafuata hadi muchatha??

so ulienda home ukakamua Mwas?