Mwarimo

Well, before I got married, my fridge was shining na kila kitu ndani,nyama,sausages kwa mini freezer hapo juu, masoda zote kwa shelves, ma greens, mayogos, maboiled macerials by mama nguo on sato but since my home became no part of me to care about this became the scene inna my fridge.Yenyewe huwezi pata mkamba na akupe kila kitu.[ATTACH=full]170864[/ATTACH]

Wewe bado unaendelea na ifges na @gashwin aliacha?

[ATTACH=full]170866[/ATTACH]Mwarimu, fridge imekuwa smoking zone?
[ATTACH=full]170867[/ATTACH]

Chilled nicotine… delayed action!

Dang ! ! ! Buy those plastic fruits and vegetables and stock your refrigerator.

Well, my keja ni one bedroom, househelp analala sitting, so mi nikija na kakitu nimejibebea,from the pub, nanyoreshea kitchen. ndio na notice mkamba lazima afanyiwe orientation baba.

Gashwin bado ako ngunyumu, namjua sana.

Ee

Sielewi nini inaendelea hapa. Kwani mkamba anaweka nyama kwa kabati na ukona fridge?

mwarimo ni nini tuaifu ndogo ndogo hivi?

Mwalimu, unataka mukamba ajaze furiji nyama na humuwchii mbeca?? Achinje mboch amuweke huko ama???

mimi tangu nioe my fridge is always to the brim

Ulioa shagmodoz baba :smiley:

:D:D:D:D:D

hahahahahaha Ati Bar Fridge.

:D:D:D:D Ati Bar fridge.

Hehehehe…What sort of experiment are trying?

uko na shinda …na ulinunua gari gani eventually ama ilikua nduthi

mungiki SHINDA ni nini ? jinga

:D:D:D
kuja nikubuyie guarana na sausage hapa harry’s uwache kusumbua