Mwanga lutila ni mtu asiye na upeo wa kuendesha "LORI" Ni mtu wa kuendeshwa tu

Hana mix ya humility na intelligence inayotakiwa kuendesha “LORI”

Ukiwa na humility kubwa na intelligence kubwa, hiyo ni best mix (Mchonga meno)

Ukiwa na humility kubwa na intelligence ya wastani , unaweza kusaidiwa Kuendesha “LORI” (Mzee Ruksa)

Ukiwa na humility yawastani na intelligence ya wastani , pia unaweza kusaidiwa kuendesha “LORI” vizuri(Msoga)

Ukiwa huna humility na una intelligence , unaweza kuendesha “LORI”(Bamkubwa Ben)

Ukiwa huna humility wala intelligence , tena uko conceited hata kusaidiwa kuendesha “LORI” ni kazi nzito sana maana utawatukana mpaka wanaokusaidia kuendesha "LORI"kwa kujiona wewe zaidi wakati huna lolote (Mwanga Lutila)

Umenikumbusha definition ya insanity:

Doing the same things in the same way but expecting different results.

Mwanga Lutila bora akawe nyapara wa ujenzi

Haaaahaaaaaa

Ndugu yangu mwanga Lutila nakushangaa lori lako mlima kitonga unafosi kupanda na namba tano Eti kwa kisingizio cha awamu ya tano kweli???

Mwanga Kitila ni shiiida, katufanya tuwe wakimbizi yaani sina hamu nae

Hahahaaa Mwanga lutila ni shida

:meffi:@Mwanga-Lutila :mad::saitan:

Ngoja wenyewe wakusikie…

Cc: @Mahondaw

Hahaaa

Fasihi

Hivi huku wanasoma kweli au ni mpk njaa awapelekee

Marehemu Kingunge(RIP) alisema… Watu wengine wanafaa kua manyapara wa…