Hamjambo Wadau from all sectors.Najua hii ni anonymous forum na ni ngumu kutrust msee but naomba wanakijiji msaiidie mahali mtaweza.Niko tayari kulose anonymity yangu nisaidike.
Nimekuwa nikisumbuliwa na heartburns for long like mwaka hivi mi nameza anti acid nasema nitakuwa fiti, naenda hosi Namibia narudi home…hadi last month vile nilianza kutapika damu ndio nikaona ni serious.nikaenda Gichuru Dispensary, nikawa referred Kiambu Level 5 au Lusegeti.Nikaenda Kiambu nikafanyiwa test za poop na damu,mind you hio time kula na kunywa ni balaa ju ya kutapika…Nimelose kilo kama kumi…
Wakanipima kwanza ukedi…hio time natetemeka ju ya weakness wanadhani ni kuogopa…Long story short,nikawa HIV negative but sasa Hpylori ikawa ndio ninayo…nikaambiwa nikanunue Madagascar,hapo ndio nikaempty savings zangu…Wadau naomba nisaidiwe na food…Wasee wanawezanilipia kwa Till number ya Self Ridges supermarket hapa zambezi niende nitachukua food… hio ndio balaa for now ju dawa nimemanage kununua zote but dent ni kubwa…Mi ni msee wa kuhawk Accessories za simu(cover,screenguards) so vile ugonjwa imekuwa ikinikimbiza nimekuwa grounded.
Namba yangu ni 0776 727 480 au 0102 284264…George kimani…zote zina Tkash au Airtel money…Safaricom bana nimeiweka kando kiaisi ju fuliza ni ya 7500 ju ya mambo ya hio treatment .[ATTACH=full]473114[/ATTACH]
[ATTACH=full]473122[/ATTACH][ATTACH=full]473122[/ATTACH][ATTACH=full]473123[/ATTACH][ATTACH=full]473124[/ATTACH][ATTACH=full]473125[/ATTACH]
Pole ndugu
I will remember you in my prayers.
Prayers first, very important. So pass by statehouse for prayers. Alafu check ka hassla fund imeanza kazi. Watakusaidia.
relationship yako na family members iko aje? na neighbors? hustlers wenzako wanaweza wakakutrust? [ATTACH=full]473143[/ATTACH]
Wanaweza nitrust ju najiongea nilivyo…ndio maana nikauliza hio swali hapo ju mimi ni mtu sina kakitu for now so hata kama ni hio time Mungu akifikisha sitacampaign na pesa bali kuuza sera.
Familia ni tafash kidogo ju kufurushwa ju ya stori za mashamba.
If it quacks like a duck…
Right now I have no sympathy to waste on politicians or even wannabe politicians. Plus we have been conned enough on this forum.
I was just asking for advice vile one can navigate hizo mambo…Most wakaniambia itakuwa ngori niwachane tu na hio stori