Hii Mada kweli ya week end
Wakirudi second wanapigwa 6 ziwe 11
Hawa Panama watakuwa wanaume Malaya, acha wachezee kipigo cha umbwa mwizi
Mwanaume akiwa sio bahili anakua sio malaya Demiss?
Hahahahaha… Leo zamu yenu lol…
Inasikitisha sana smart wangu
mwanaume kama huyo amelaaniwa. huwezi mpeleka hawara / kimada kitandani mnakolala na mkeo…
Malizia ‘au na mumeo’ Mahondaw ili u balance usije onekana unavutia kwa Ke
Na wale wanaopangiwa chumba na bwana,halafu anaingiza mabwana wengine wanaitwaje?
Mbona hizo tabia hata wanawake wanazifanya pia
Mkuu halafu haya tunayoyaongea uyasikiage kwa watu tu kua yanawatokea omba Mungu yasikukute
chamdeko yamekukuta leo
Hii ktu mbn inafanywa hata na
Wanawake bwana anatoka
Na yy analeta sharobaro wake
Hee kumbe ww n ke
Nimekuelewa Mkuu,unampangia MTU ,kumbe ukiondoka nyuma huku kuna vikaragosi vinajipigia tu
Hasa wale wanaopangiwa NYUMBA/vyumba
Hahahahaaa sasa hapo kikaragosi kinakua ni wewe uliempangishia mwanamke, utabaki unachekwa na kupewa majina ya kila aina
Baki njia kuu,michepuko ni mikosi Na kujiongezea umasikini
unataka kuona sura ya baba
watu hawa ndo wana laaana maaana si jambo la kawaida
umalaya usio na elimu
hilo sambwanda tuu… mie hoi… sura sindo ntakufa kabisa? hebu geuka