Mwananchi Credit strikes again

Mwananchi Credit inaramba watu bila mate.
https://twitter.com/Wesley_Kibande/status/1669278358528466944?t=sgiB5kySLpRqfhidKn_HpQ&s=09

Inauma. Sometimes you are forced to take loan, but getting a good creditor hata kama interest ni juu kidogo ni poa.
I think I can try lending business in future - watu wanatafuta mkopo sana. Lakini recovery ndio inaweza nisumbua.

Recovery cost na high default rate zinafanya creditors watumies scorched earth tactics on borrowers.

1 Like