https://www.youtube.com/watch?v=XOYZEf7CsX0
Video ya wanamuziki Nandy na Billnass wakiwa wako faragha wakipapasana kimahaba imevuja na kusambaa sana mitandaoni.
Wawili hao ambao wana historia ya kuwa wapenzi wameonekana wakiwa kitandani, Bill Nass akiwa chini na Nandy akiwa juu yake na nguo ya ndani pekee huku kijana huyo staa wa wimbo wa Chafu pozi akifanya kile ambacho vijana wa siku hizi wanakiita “Kupima Oil”