Mwanamke katika ubora wake wa hali ya juu

jamaaa alikuwa mkali sana kwa mkewe kiasi kwamba kosa dogo tu anashushiwa kipigo cha mbwa koko
juzi kaugua ghafla na kupelekwa hospital na alipofika akaambiwa akalete mkojo ule wa kwanza kabla hajakojoa ili wajue anaumwa nini basi asubuh na mapema kachukua mkojo wake vizuri kauweka kwenye kichupa cha hospitali alichopewa. Akauacha juu ya kabati, ili ajiandae kuvaa na kwenda hospitali. Bahati mbaya mkewe katika kupanga panga vitu kichupa kikadondoka mkojo ukamwagika wote. Kwa kuogopa kipigo faster mkewe kachukua kile kichupa akatia mkojo wake akakirudishia pale, then Akauchuna kimya. Jamaa kupeleka hospitali majibu yakatoka kuwa ana UTI na mimba ya miezi mitatu. sasa jamaa anahisi kalogwa kumbe kajiloga mwenyewe. Hivi yuko njiani kuelekea sumbawanga na mimi nmemwambia ukizubaa utajifungulia njiani tena mtoto njiti…hapo ndo utajua kwanini wanawake huamini zaidi MUOSHA FEDHA na CHUMVI kuliko Mungu kwenye kuondoa mikosi

Wanawake hawaaminiki…Biblia imesema wanaume waishi nao kwa akili

Sasa km unajua story zote mbili yaani za kisa cha kubadilishiwa mkojo na majibu ya mimba c umwambie tu mshkaji ukweli:D:D:D

Ni fungu lipi hilo la bibilia nisilolijua?

1Petro 3:7

Hapo sawa, ahsante

Duh! mkuu bila picha ya wife wake ni hekaya tu

Hata hatutaki kuiona sura yake, hata paja lake tosha

Hakuna mtaalamu wa maabara mpumbavu kiasi hicho kuna baadhi ya vipimo ni specific kwa jinsia

Siwezi kuona ze dudu halafu nikakupima mimba never na siwezi kuona mary nikampima tezi dume

huyo nae anaepiga mwanamke wa wapi huyo ndo maana ana mimba

Hahaha aisee!

Teh teh mnanivunja mbavu aisee.

Hiyo yote ni madhara ya unyanyasaji kwa huyo mwanamke wake…

Cc: @Mahondaw

Huyu @Mahondaw ni nani haswa? Yupo kwa cc zote

Cc: @Mahondaw

Cc: @Mahondaw

Aisee!

Ni mwanamama aliyeteka akili za dume lilokuwa la mbegu linaitwa @Smart911

Tihtihtih… Ni Mrs @Smart911 mkuu…

Sawa

Cc: @Mahondaw

tehteh… karibu sana ugenini namuruk nafurahi kukuona tena…

cc @Smart911