Mwanaisha Chidzuga....atatoboa ?

[ATTACH=full]429984[/ATTACH]
Huko kwao yeye ni conquering hero

Wakenya saa hii hawachagui populist. Moha jicho pevu will struggle to retain that seat. Njagua kigeugeu ni mtu ya slice moja kama amesonga.

Kimilili nachukua MP na popularity ya KTALK

unajua moha alipita independent? Huyo anapendwa bado

Mrs Mungatana … :D:D

[ATTACH=full]430022[/ATTACH]

[ATTACH=full]430023[/ATTACH]

Coast ladies are so beautiful

Atatoboa lakini ajue vile atacheza white

Kama mum yake " Zainab Kalekye’ alitoboa kama woman rep, mbona yeye asitoboe?

muzeeee, tamaa itakuuwa

Enyewe ni warembo. Come to MSA tukupe shamba, na warembo watatu ukiongeza mkeo utafikisha 4 inavyoruhusiwa. Mambo ya viruka njia utasahau.

Hata Simba Mzee hunywa maziwa

I will come there when I become a trillionare. I came to the city a few years ago na karibu nikatalie huko

Utashindwa kama ile website yako.

Na mkikuyu arudi kwao Kirinyaga.

Ngombe hazeeeki maini

I thought UDAku wamekataa Dynasty.

Watu wa pwani hawatambui chama bali personality ya mgombeaji. Unaenda na chama kubwa unatwangwa na independent candidate.