Mwalimu gashwin expels introvert junior

That boy was drawing demonic things wacheni hio ya scorpion very unfortunate the expulsion has been rescinded ,siwezi kubali kijana wangu asomee in satanic environment.

Ni njaa, the nyingine is correct SWA though, sindio @xuma

2 Likes

Waalimu huwa na ujinga wakati mwingine

1 Like

instead of guiding the boy to develop his talent, they are forcing him to behave like a sisy

Hapa principal ,Ujinga yake itaonekana Kenya mzima

Afande bado huvaa kaptula?

Kisii wa nyandarua unasumbua.

1 Like

Uliponea juu haukuchora principle kwa gunia wiki hii

Ni principal ndugu

Sawa ndugu

“Why are we like this!!?”

ati demonic? hawa watu walizaliwa 1920 si mnasumbua

Kweli dada.

1 Like

Nani ameona hiyo ng’ombe inajiita Mister. You DO NOT refer to yourself as mister. Other people call you mister. Ngui ino.