So jana kama kawaida nimepitia kwa mall…sijui kama ni elekshons ama nini lakini hakukuwa na watu. Na pia pale garden city soo many shops have closed down…its sad!
Anyway kumalisa “shughuli” zangu mvua ikaanza tu hivo fwaaa bila any signs…nikasema haidhuru wacha nikae hapa kwa launge nisafishe mecho kama kawaida (this is always plan b kama hakuna offer, plan c nitawashow kwa hekaya ingine)
Mimi huyo hapo one hour…nikaona hii itanyesha usiku mzima. Nikavaa hood nikasema nitatembea kwani iko nene! It was one cold rain…the last time nilinyeshewa hivo ilikuwa ile siku nilipigwa suspension high school juu ya kutishia form three na panga na nikakataa ku-apologise.
the trick with going live is to be as controversial as possible, and then read out IG updates on your wall. and then tell them kuna offers mob, kama ile ilikuwa kwa basement!