Mvua Imerudi

FB_IMG_1679254272897.jpg

Hii siet happened in Malawi… juzi after that storm… people are counting loses… i saw them pics… its any house owners nightmare.

Huyu alinunua shamba kwa slope akiexpect nini? Ona hiyo ukuta nyuma lol.

Elders tulisema never buy land before seeing how the drainage operates when it rains.

Atleats sasa anaweza weka gutters bila stress !

Chief!! Alijenga kwa njia ya maji. Bure kabisa Ngombe ici

Daily nation iliuzia uyu vumbi uko Maai mahiu? :smiley:

Jaba reloaded