MV NYERERE update

[ATTACH=full]196454[/ATTACH][ATTACH=full]196455[/ATTACH]
Hatimaye kivuko cha Mv Nyerere kilichopinduka Septemba 20 kimenyanyuliwa.

Kazi ya kukikokota Kivuko cha MV.Nyerere ilikuwa imesimama kwa muda baada ya mnyororo uliokuwa ukitumika kukivuta kukatika.

Kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kimepinduka na kuzama kichwa chini, kimeinuliwa kukaa wima.
Kivuko hicho kilipata ajali juma lililopita na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 229 ndani ya Ziwa Victoria.
Zoezi la kukinasua kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kimezama katika Ziwa Victoria Septemba 20,2018 limekuwa na mafanikio makubwa baada ya vikosi vya uokoaji kufanikiwa kukinyanyua na kuonyesha taswira halisi ya kivuko hicho.
#MVNyerere

May all those lost souls find peace in the Hereafter.

now after repairs you expect superstitious people to board the damn thing!!

Ghosts everywhere I tell you

It took days just to save people from an overturned floating vessel. Africans never learn from peoples mistakes. It happened to kenya sometimes back the way I hear it.

You have obviously never heard the story of the Russian submarine.

Kursk submarine disaster - Wikipedia

I have heard and probably understood it than you do. And thats my point actualy. It took more than 7 days and that was 18 years ago to get to people although dead to a sub that had sunk to the ocean floor while it takes the same 7 days to save a bunch of people on mv nyerere that had just capsized and still floating. What do you think could have happened if it sunk to to floor? It could take mayb a year to get to it if no foreign help came over or they probably wouldn’t bother try find it.