Muziki hailipi

I don’t know how Kamaru seem to have made it but the fellow musicians going to comfort his family just look shaggy.
Pesa wanapeleka wapi

Flashy lifestyles my friend. Mtu ananunua vitu hahitaji forgetting that one day he’ll grow old

Kamaru ni fossil, sijui kaa umesoma ile short autobio niliweka, he used to swing with jomo and moi

Enyewe ata Kiguthaa who swung with kina Lucy Kibaki na Kabogo pia ana kakitu.But hawa wengine ni watu wa kuvaa ki shati kikubwa na kujaza makaratasi kwa hiyo mfuko hadi shati in shuhuuka

pombe,malaya na raha then they forget to save for the future

Roba of kalamashaka kazi ni kuzururaka mtaani akiombaomba. Hata hana mahali pa kudoz. I pity him he was the first kenyans song to be played in channel O.

Sad if true…maybe a drug problem?

Nope he never distinguished that he has two personality. Life yake yeye mwenyewe na ile ya usanii. Lakini ilikuwa ni kuball. If he separated life yake ya usanii na yeye mwenyewe. He could have lived a responsible life not a flashy life.

I read somewhere that Kamaru started singing in the sixties. Thats way before some of our parents were born.

A

Angefungua kabiashara kama wasanii wengine. I do not know if Abass Kubaff still runs a butchery.

They don’t have time for that kazi ni club hopping na changes mbitches ka nguo.

ile fundraiser ya Juliani pesa walikula pia?!

Juliani ni fraud siku hizi haimbii ameingia kwa tuNGO. Anasema anasaidia vijana na ni mradi ya kukulia vijana.

Kuna wengine walienda majuu ati ndio muziki yao itashika. Hudson Ngunjiri, longombas, mercy Myra, Fiona na wengineo.
Ole wao.
Saa hii wanaimbia tushosho wakituoshanga.

:smiley: :smiley: making money from music is an uphill task. Especially when you have to complete with geniuses such as Michael Jackson, Diamond platinum, Koffi Olomide, Nameless etc

Ati nameless? The fuck are you saying

[ATTACH=full]198671[/ATTACH]

Vigeti ndiye alikuwa na drug problem lakini aliresolve saa hii anarecord album ya pili kule Sweden na manager wake Ken Ring.

Hii ni noma, did you Roba is one of most educated rappers in Kenya alikuwa KU back then, lakini in his own words “Oteraw atavalishwa suti siku nitakuwa kwa kaburi, lakini saa hii wanasema oteraw ni mrui.”