Mutura

1 Like

Ile kitu moja mimi hupendea ma mungich ni wanajua kutengeneza mutura kwa bash zao wacha hizi za barabara

4 Likes

Umenikumbusha mtura fulani nilikula nyeri, nilikuwa nmeenda na jeshi fulani kuzika beste yetu. Mehn! Mtura sio mtura. Ilikuwa tamu saidi. Sema pili pili, sema mtura kuwa safi. Nikama nilikula ya soo mbili. Hata nyam chom haikunijazz. Mtura tu…nilikuwa tu nayo nayo…ongezea kengine. Na nilianza na ya mbao

1 Like

Kwanza upate ile imewekwa damu ndani yaani hio damu hupikwa inakaa kama mince meat… tamu saidi na ka firi firi

Not Kenya. Nobody eats Mutura and cabbage.

Kuna wenye- cooked blood mix nyama huwekwa kwa mĂştura. Even before it is stuffed in the intestines that thing you can over eat

1 Like

I like African sausage

High end joints can serve it this way eg Max land waiyaki way when it was new.

1 Like