Mutua records statement

The Masaku governor claims to have been intimidated by Ruto and Duale and records statement at Kilimani Nairobi.
[ATTACH=full]276016[/ATTACH]

Ngoja Sasa akina Murkomen na Sudi waamke waangalie record ya Mutua kwa darubini.

Lazima amulikwe kisawasawa.

Macho iko safii

Mutua is supposed to be a communications expert lakini sijui hii PR itamsaidiaje juu ile kichapo atapata…

Upuuusi

Hii khupipi ya Mutua mbona hazaangi? DP should tag in.

Trophy

:D:D nangoja uchunguzi wa CSI.

it is only after murkomeno kuanbia mutua aexplain how he was cleared from previous corruption cases ndo akaanza stori ya assasinations.