Mutua alipua yote

[MEDIA=twitter]1405464581015805953[/MEDIA]

His guy has a brain. Shida ni ati he is a coward.

Na mbona yeye kasahau kugusia sera za kumfaidi Mwananchi wa kawaida? mbona huyu Mutua kaongea tu kuhusu venye wanasiasa wanafik kama yeye wanavyofanya?
Na huyu Dkt. Mutua alipona kiganja cha mkono baada ya kuumizwa na Dkt. Ruto?

nikikumbuka how he cried ati ‘ruto alinifinya mkono’ , lol:D … aache uoga

mutua has a real PR degree…