Mpaka ndani shigidi shigide
Hasa aki-lick D, lick De
Ye ndo mama Chibudi Chibude eh
Wale hawajaenda lunch, pateni hii mtashiba.
https://www.youtube.com/watch?v=oZS3fekWNOM
Picha linaanza nshawaka
Picha linaanza nshachanganyikiwa
Picha linaanza nshadata
Ukweli mie amenikamata
Kwa jinsi navyomuangalia
Akinipatia nami sitamuacha
Kwa nyuma ananipa mineso
Moyoni ananipa mateso
Yupo sure ila mate na ghetto
Mtamu na hapendi vya dezo
Nakula kwa macho,
5 star girl si mchezo
Emu ona, emu ona
Ukweli mie amenikamata
Kwa jinsi navyomuangalia
Akinipatia nami sitamuacha
Aa aah ana rangi flani ya kimanga
Lugha lafudhi ya kitanga
Usiombe akapita na khanga (wu!)
Nyuma figusu majanga (wu!)
Ana mwendo wa kungonya
Tena alivyoshona
Umbo kama katuni wa kuchora
Aah Singida-Dodoma,
kitandani Sodoma Kiuno kama nyuki,
dondora Maneno ya watu sumu yana hila
Wasije leta referee ka mpira
Chunga katu usije ukan’nzira
Nkashikwa na uchizi yaani utaila (Rooh!)
Mtoto yani mukidi mukide
Mpaka ndani shigidi shigide
Hasa aki-lick D, lick De
Ye ndo mama Chibudi Chibude
eh Ukweli mie amenikamata
Kwa jinsi navyomuangalia
Akinipatia nami sitamuacha
Too se-too sex yeah man
Buzye-buzye ni amani
Mungu ameumba hapa, yeah man
Natamani nikaseme nae, yeah man
Naamini amezaliwa ili mimi niwe nae eh
Mpaka sasa nimechanganyikiwa
Akaja ye awe nami
Mutoto yani mukidi mukide
Mpaka ndani shigidi shigide
Hasa aki-lick D, lick De
Ye ndo mama Chibudi Chibude eh
Naamini amezaliwa ili mimi niwe nae
Mpaka sasa nimechanganyikiwa
Akaja ye awe nami Iwe iwe iwe Iwe iwe hii ndoto
Ni tamu mpaka utamu umepitiliza
Akikaa na wengine wanachukiza
Shika leka dige yeah man
Ngoja niongeze bidii yeah man
Ukute hili zali langu yeah man
Nikapige masinema nae yeah man Sheaaa!
Yessaya!
Nakula kwa macho
Kwa macho
Nakula kwa macho
Kwa macho
Nakula kwa macho
Kwa macho
Enjoy