nimechomeka mikono ya kutosha.
[ATTACH=full]238366[/ATTACH]
Aki ya Nani akirudi anakuosha iyo mtungi coz anajua kuna mpishi mwingine uta Leta tu
Si kuoga kwa kichaka DRc, si kuanika nguo nyuma ya tulela now this…
Kama haya ndio maisha, pole msakoro
Dangerous set up
Bro, uko na microwave pia hapo ndani?
Alafu apeleke salo yoto kwa maraya
DRC wanatuogopa sana, wanasema sisi hupenda Bahali ba kujambia
Halafu matina anakuja kukushow, Meria nunua chips.
self contained, hadi fridge
Letea VC tissue @Makonika
nakutumia ID upatie @gashwin anichukulie hujuma namba
hata fingerprints utume.
Hiyo nugu iendelee kutumia matawi vile imezoea.
:D:D:D:D
vile card hazijatoka ata moja si i mnaweza chukua baadae
Padre niombee Mutheu arudi ata kwa kijiji. tuko na colabo ya hekaya.
Very dangerous , si afadhali kupark kwa bush upikie huko
only dangerous ukiwa na Thermos,
@gashwin I am not petty enough to question somebody’s life situations.