Muthama children disown their mother

Siasa za Masaku zimechukua mkondo mwingine sasa baada ya wanawe Agnes Kavindu kumpinga hadharani. They have said a vote for their mother is a vote for the devil himself :D. Seems Muthama has panicked and he can’t imagine losing to his estranged wife. Itakuwa aibu kubwa sana banae…

https://www.youtube.com/watch?v=CPWJgY3GL3o

Watoto washenzi, it’s their mothers civil right to vie for the seat.

These are headless chicken, pambana na hali yenu, wachana na wazazi wenu, hizi ni stress za kujitakia

Huyo mninja ana kaa mashida mashida

“Sources say Agnes is the first wife Muthama married, then offloaded and recalled. While Agnes was away, sources claim, Muthama married a second wife who bore him six daughters in a row.”

Shiet :D:D:D

In this clip, aliwai fukuza mamake from their Mua home. Ni mnoma huyu

https://www.youtube.com/watch?v=PN8GYlsosuU

They should never have done that presser. It was ill advised and now their true nature will be exposed.

Kenyan voters will always side with the mothers of this nation and see these children as unruly vagabonds.

Tuseme tu ukweli @BBIsiMuhimu , @Sokwe mtu , @captain obvious , @Wanaruona na @kanguthu hawajaelewa hio kizungu mzito mzito ya GCE schools.

They are but simple village boys unaccustomed to such highly polished diction. Thank you.

(Kindly translate for the hoi polloi to comprehend.)

Hapo ndio mnaendanga interview kisha unaskia mtoto alisomea Braeburn akiongea unafunganya bahasha yako ya Sondu Miriu DEB pole pole unajifanya unaenda choo na unatoroka.

Juu enyewe mtu kama @Wanaruona najua huwa anaongea, “My names al James Itina Wanaruona from Keno Murang’a. I am 43 years old ad mallied to Kang’uthu my wife. We have two chidlen and one cow. The cow’s name is Wairimu. She is a good cow. The fetinali gives her mbegu.”

Cc @ChifuMbitika

Whats wrong with having daughters?

io video ni kesho…kijana siku moja uta tii nguii

Two shudren

the father is loaded, the kids are basically protecting their inheritance, most likely the father coerced them but they should have kept off, hiyo ni own goal.

Hii ndume iko na bibi wangapi? Sijui Kama ni ukweli but he might be an in-law to the royal family via nyokabi Muthama.

:D:D:D:D

she is a toxic woman. ukiona mwanamke anakataliwa na watoto then jua muthama alikua anaishi na shetani kabla divorce.

Mama kisirani huyu.

regardless of that ,she’ll remain their mother, that fact will never change. whatever happens between two adults kids usually keep off, you keep quiet unless it involves violence.

they’re disowning her because their father instructed them ,otherwise no different case from bishop wanjiru.

Hii ujinga tafadhali tusifunze watoto wetu

being a mother goes beyond giving birth, those are her kids and they know her better than you and me, they are the ones giving us first hand information about the woman. muthama alikua anatuambia, tunaona ni siasa, lakini sasa watoto wameconfirm huyo mwanamke ni iblis