Waah,
Afadhali mbitika naishi poa nyeri.
Leteni pesa niwatafutie shamba
Sisi tuko Sawa hapa Raikifia
Apart from garbage and water issues, pipeline is one of my he safest neighborhoods,wakamba na maasai hawalali. Ata 3am mtu Bado amefungua duka, the hustle is real.