music video download

where can i download music videos?
youtube inakataa. nataka za ali kiba.

nitashukuru.

Youtube inakataa kwa nini?

Tube mate

What’s the error YouTube is giving?

visit http://www.clipconverter.cc/

1 Like

Unaeza tumia IDM. Just install it halafu enable extension yake kwa browser then play the video kwa Youtube itakuletea option ya kuidownload.

Hii website hua naipenda sana lakini siku hizi iko na adware nyingi sana.

The video you have requested is not available.\

@Bhangi iwe hiru

I use it almost everyday. In fact, I disabled adblock for that website ndio at least wapate pesa

1 Like

firefox addon
[ATTACH=full]25049[/ATTACH] [ATTACH=full]25052[/ATTACH]

1 Like

Thanks. Hii iko sawa.

tubidy je