Music Copyright

Between MCSK and KAMP-PRISK-MUPAKE who are the ones to collect money from businesses?

Guys from both organisations are harassingme daily at my establishmenteach claiming they’re the legit ones.

Who has info on who should be paid… hawa watu sielewi tena!!

If you new in the biz then utaangaishwa…which biz are you undertakin

I don’t understand them, who is who, but my views is that MCSK are the ones who should collect the royalties, but also depends the type of business you are doing…

KAMP, PRISK, MPAKE, are the real deal. Mcsk has no authority to collect, wakija waambie unaenda kuwaripoti polisi for harassment uone vile wataenda mbio, they are just extorting from the unsuspecting.

Club manenoz

Seems you’re right Guy of KAMP PRISK told me to confirm from OCS- Lemme do that shortly!!

Mtu alete wrink with info of when MCSK we bundled outta business… there is totally nowhere to credible info on such stuff!!

hawa nyangau wote why should they collect royalties from businesses?

Ruling ya judge David Majanja ilichapa hao mcsk kiboko last year…
High Court judge David Majanja ruled that the society’s licence expired on December 31, 2016, and it was therefore barred by law from operating as a collective management organisation under Section 46(1) of the Copyright Act.

The judge said MCSK had been collecting royalties illegally on behalf of song writers, composers, publishers and owners of other copyrighted musical works.
Walikuwa wanacollect royalties na hazifikii authors

Kamp(producers), prisk(perfomers), mpake(music publishers, composers, authors).Hii kerende yote haijadefine charges to be collected

Club si utakuliwa, sio mcsk, sio Nema, sio kushika dj.
I operate a restaurant/club with lodgos upstairs upcountry, unalipia malicenses na saa hio biz iko chini, hadi watu wahealth wanadai haki yao.
After last year hao watu wa mcsk walitulia, hao unipigia kuuliza nakata licence zote mbili tena lini…fujo yao ilitulia
Shop ya gaming mtaani nayo hata hawafiki kama kitambo

Hizi licenses wawe wanatax large establishments.Unapata kijanaa amemaliza uni ama cole anataka anza biz ya kinyozi, movie biz ama gaming ndogo akisaka job halafu anasumbuliwa na mcsk na malicenses, work permits, sijui film and gaming licenses.Yaani unajiskia tu gova haikutakii, heri ukasake white collar

Ni system ya majambazi. Kuna siku niliambia hao makarao hukuja na hizo mbwa za copyright vile wameshindwa kushika majambazi wanatusumbua mtaani, wakaona waanze kusumbua soft targets. Mmoja wao alikua anatamani kunishoot. Unaitishwa all manner of licences na ata sio guaranteed ati ukikata zote wataacha kukusumbua.

Its about time business licences were unified to just one.

It was even in the newspapers

Under the law wakikuja they must have one uniformed police officer which anatakiwa kukuonyesha police number yake. Otherwise ni conmen hao wanakuja kukuhustle. Wako wengi siku izi wanatake advantage ya new bussiness owners

Not gonna happen soon. Devolution worsened matters.