[MEDIA=twitter]1645388173013315585[/MEDIA]
Afinywe kabisa. Hio upussy apelekee huko Langata women prison Kampala branch.
Atleast walifinya mateatea
Kama wetu ni D-, hawa tutawaita aje?
E+
Hawa ni Grade P-
Wengi wa armed forces wa izi nchi jirani hawajaenda shule so grading such is an insult to our D- material
Huyo Ogwang apana macheso!
huyo sio jaluo ni acholi
Huyo dem ni kiatu kuruka. Awekwe ndani mara moja.
hata kama makerere ni DIGRII anatafuta ? :D:D