You only need 2.5 kg of ugali for 10 days
[MEDIA=twitter]1262417992887001096[/MEDIA]
[MEDIA=twitter]1262420349490212869[/MEDIA]
Enyewe tuko mbali in light years between developing and developed nations.
Sisi bado tuko zile Enzi ya nebuchadnezzar
Akipatiwa mkate na yesu
Why
Hizi nchi zetu za Africa zinachekesha sana
The guy is on point that’s why mwafrika tuko nyuma. Usiku Mtu anakula sembe kubwa and he is going to sleep. Halafu asubuhi araukie slice tatu za mkate na kikombe ya glasi ya chai. Na anaenda manual job. Jamaa anashinda akikula Kula wasting more time and money.
Asubuhi ndio unafaa kuwa Una Kula Sana since you need more energy. So utafanya job njaa utaanza kuskia saa Tisa. Enda Kula light lunch. Supper ni fruits na salad.
Afrika tutaendelea the day we will shun hio eating habit.
Utatombana na mapera kwa tumbo boss.?!
M7 is really on point and in control.
He knows the banyabo land ppl needs and requirements n provides.
Military distributes food rations during lockdown
tomba shida msee
:D:D:D. That’s why African will continue to be fourth world. Hii mbegu ni babu zetu walipanda ya Kula Raha.
Nowadays I don’t eat anything beyond 7pm. I only take fruit juice before I hop to bed. For breakfast I eat ugali kubwa, two fried eggs, vegetables, two bananas and a bowl of porridge. I have stamina for work the whole day.