muscle twitching and vibrations

Saidia before I get to the hospital that is at 4pm. My legs muscles have completely refused to hold my weight I can’t walk on a straight path. Biceps and triceps have also gone on strike shida ndio gani

sounds serious, nenda hospitali asap

1 Like

Kama ulikuwa gym ama umeengage in physically strenuous engagements kunywa maji ya matunda, maji, tafuta creatine uongeze kwa maji unywe na utulie tuli

1 Like

KWANI ULIOGA?? ROLL IN SOME MUD YOU WILL BE FINE

12 Likes

I have been relaxing on my bed from Saturday to this morning

  1. Wewe ni mnono

  2. Simama. Itarudi tu

1 Like

How much do u weigh?

I weigh 88kgs

Piga tu stretch

1 Like

inaonekana Friday ulijaribu ke-meet “threshold”, shoti moja nzito imetosha especially if you are 88Kgs

Ati muscle twitching and vibration? Hiyo inaitwa orgasm.
Ama aje @Female Perspective ?

1 Like

Io ni umikwi, pole kaka braza

Boss,badala ya kwenda hospitali unakuja hapa pang’ang’a? Halafu unapanga kwenda saa kumi?
Naona kutooga kumefanya hata akili iwe jinga… Thii thibitari baga!

2 Likes

Nenda uoge buda

Mûthuri mûrata ngûkîharûrûka kuma 8th floor nginya ground floor atîa na lift nîgûthodekwo îrathodekwo?

mbona kila mtu yuakuambia ukaoge?

Nakuanga na kashida Ka kuoga a.k.a water phobia

Boss ati from Saturday to this morning??? Hapo kuna shida? ama ni vile uliona Kasarani?

3 Likes

Ulienda hosi?

Yes ndio ninatoka

1 Like