Murori finger chop off

muchathaa gachie,ukiwa na ngombe ama nguruwe unatakaa kuuza,ama kuchinja there is a guy called murori, he is the guy atakuchinjia na kutagaza kila mahali na ngombe yako by jioni itakuwa imeisha…kazi yako ni kureceive pesa…later unakanja murori zake…

sasa this day on a sunday nilikuwa mtaa,jeshi ikasema tuende kwa Muito kumechinjwa tuchukuwe kilo mbili… tukichukuwa Ratish kibuyu moja

kufika tukapataa line refu sana, tuka opt kuchapaa ratish as we wait murori afanye kazi…

sasa murori anakataa nyama na bado ana mumunya kinywaji yake… anapima anafunga,pesa mama muito ana receive …

after line imepungua, tuliskia nduru kutoka kwa mama muito,
raiya ikakimbia kuona nini mbaya…
kufika tunapataa damu all over
kumbe murori alienda kukataa mfupa na force akadelay kuondoa kidole hii karibu na thumb…ilikuwa almost kuanguka…

and this ninja anakataa kuenda hosi,still sipping muratina. …

akafungua mkono aka kimbizwa kihara medical center… …

kila mtu alijuwa amejikataa juu ya fombe…

ilibidii ata nyama tusibuy tukaendelea na kamuyesho hadi almost 6pm…

walai tuliona murori anakuja amechapwa stiches ameshonwa na bandage mkono, and the ninja drunk as fuck…na bado anatakaa anunuliwe jug na muito na alipwe pesa zake za mchana…

kuna watu hawajipendi walai…

wuui murori

18 Likes

Kwanza hizo ng’ombe hazikua zimepimwa. My grandma used to go running for ngarango. Anazikula peke yake.

4 Likes

Afadhali wangekuchinja badala ya hiyo ngombe (your story is as fake and boring)

2 Likes

How bad was your mom Miss Finest Wine??

:D:D:D:D
Sijui mbona nimecheka.
Huyo granny alikuwa mean.

1 Like

No we refused to partake in the feasting:Dkwanza umeskia nguruwe ikikufaa…then the stuff tasted like shoes…

2 Likes

:D:D

keti pale

1 Like

Maybe akina MWF waliringa ati juu ngombe haijapimwa.

umewahi taste viatu?wah!!!

3 Likes

Shoes, hehehe, mayangai ni watumatheke tamuguruki.
Hii story ya TLS i can relate, our village butcher wa nguruwe alikua aitwa Ndungu, alikuwa anaigonga na sledgehammer kwa kichwa inaanguka kabla irecove anatoa kichwa with a few swift strokes

1 Like

Ni nguruwe I am on about.:)odd that we could be about when a goat was being slaughtered by mean looking wazees and still indulge. Now I cannot touch the nyama if I have seen/heard a goat dying.
@TLS…you know our lingo huko kwetu…‘ekurea ewiki’. I did what is called direct translation from Kyuk to Osungu.

:slight_smile:

ndungu aliwai jikataa?:rolleyes:

na vile ngarango zikiwekwa kwa damu ya mbuzi na chumvi huwa tamu:)

1 Like

‘Eeeeni shiashamaga ta ngothi ya iratu’. TLS and I are planning a tour-de-area za hizo routes nishikwe na nostalgia kiasi tukitumia public transport aka mathree if our dates ingiana. Should be great fun although I have missed landing kwa tarmac as the drivers zoom off when my one leg is in.

Yes, those butchers were ruthless.

1 Like

:frowning:

If you have not experienced the real village life, you cannot relate with Sparta’s stories. He captures rural life so well and keeps it short. We get tired of reading sex hekayas all the time. We need all hekayarists like real bad. If you bash them, they disappear. Look at @Diablo and @Adeudeu. Nimewaita mpaka nikachoka.

3 Likes

:(wacha:(

Wapi wakikuyu watushow what happens when such things happen?

Unajua aje, Kwani you’ve tasted shoes:(