murder most foul

yesterday was just like any other day for a guy called pu,he will never know why it turned the way it turned resulting into his demise,the day before his son had fought his step cousin and knocked off 2 teeth out

ngombe semeji weka efidence ama uwank ulale .

Vuta bangi polepole.[ATTACH=full]80831[/ATTACH]

4 Likes

Shemeji unafogodha

4 Likes

Are you implying that other murders are pleasant ama?

2 Likes

so the step cousin killed his dad??

wacha niwapatie stori sasa,the killer ni chokosh kama jirani,walikuwa wamepigana na kijana wa huyo mzee saturday na akangolewa meno.alikuwa ameamua atafanya revenge liwe liwalo, jana walikuwa bado wanavutana mpaka ikabidi baba ya huyo kijana aitwe kutoka kwa bar atulize hali.naye kukuja alikuja na fujo na wakaanza ugomvi na kijana ,akachapa kijana teke ya tumbo na kijana akaretaliate na kumudunga kisu ya roho na kumuua hapo hapo.kile kitu kimenichukiza ,kwanini hawakungojea election zimalizike halafu wauwane?it hurts ,2 lost votes

8 Likes

:D:D:D… walevi wanawezatupa mateke za kahaco

si ungekatakata hizo miili upike thufu

fala 50,huoni hizi ni kura mbili za rwnbpe zime malaysia?but still RWNBPE LIWE LIWALO

1 Like

ebu andika kwa Lugha ya mama watu wenu wanaeza translate to kitu inaeleweka

Semeji naona umequalify kufanya kazi Mharo.com

5 Likes

Sasa mlevi ikiwa ndiye ataandika statement kwa @pamba kutaenda aje?

1 Like

unanataka kuelewa ufanye?hakuna kitu ya kuwank nayo hapo,meffi

1 Like

Shemeji dry spell inakusumbua. Nipigie simu nikupatie hook up na @Female Perspective

Pole shemeji. Lakini pia hao wawili ni ngombe sana.

Wakanyama ulikua umekunja mkia two weeks ago sasa ni wewe hapa umekua noisemaker! Pole kwa masaibu thou

Hi ilifanyika pale nembú???

Go back to dealing with lizard meat.

kumbe hata wewe ni musubcounty?