murathe, atwoli, jirongo: Tunaenda Tu Mos Mos, Hakuna Haraka

Sisi hatuna haraka. Tunaenda tu mdogo mdogo. Mtashtukia tu tumefikia big fish. But lazima kwanza tumalizane na hawa wadogo kwanza. Utaanza kuskia complains ati oh, they are doing revenge, oh Hustler anatuonea! The fact remain that we will deal with all those crooks one by one. jakuon has started feeling the heat, si mnaona ameanza press conferences, na bado!!!

Wafinywe kabisa.

Only God can help Jirongo. He insulted Nabii most blatantly. Mumuombee

Alafu akasema aliona Ruto aki murder mtu.

These are petty side shows. If Ruto was genuine he would have to jail himself for all the POV witnesses he has killed including akina Yebei.

Miaka 5 sio mingi. The critical tasks remain undone. And he needs to finish outstanding govt projects. Akianza witch hunt kama za Biden ni pesa tu ata waste.

Let me ask you a simple question. What are you gaining from all the fracas or are you just a keyboard fanatic who at the end of the day has to pay bills and look for food?

Politicians don’t care an ounce about you. If Ruto were to get stuck in a desert for a day, I’m sure he would prefer a company of an oligarch to a peasant. So ask yourself, what is it in for you?

Tulia, data miaka tano? Are you mad? Fanya hesabu ya miaka kumi. Na uchumi ikikua mzuri sana tumuongee term ingine.

I am in the driving seat buana. Ata naeza kuambia who is next in line ya kunyoroshwa. Nakuambia heads will roll buana. Unafikiria mbona jakuon ameanza kulalamika?

mama mboga is empowered by this.

Ningeomba Atwoli afinywe vilivyo…jamaa hanaga msimamo.Sasa amekubali JSKS atukate 6k ya Nssf…mtu bure kabisa…maliza ghasia

Kule bomas vile kamzee kalipiga kifua “tusitishwe” najua saa hii kanabadilisha oversize diapers mara sita kwa kujiharia.

@cheekbusta mwenyewe

BS

All accounts must be settled, with interest.

I thought walisema they won’t use institutions to fight political opponents “like the previous regime did”.

Umbwaa yeye. Sisi tunataka tufanyiwe KAZI. We never voted him anze kufuata na kusumbua obedient civil servants.
Huyo ghasia anafungua a pandora box. He never knows akitoka atakimbizwa kama phone snatcher.

Akimbizwe na nani, funda wewe.

we kaa tu hapo. Ata hii kijiji tutasafisha.

Wewe jiulize why kibaki never went for Moi. He knew kuna civil servants you were placed in the government who were loyal to Moi. Wange sabotage anything Kibaki did.

on this i fully support Nabii . funga wezi , mwizi ni mwizi whether ni wa Azimio or chirth i dont care funga hata RAO kama ameiba ghassia . hata Nabii ni mwizi but since hawezi jifunga , funga hao wezi wa AZIMIO wote .:D:D