Hapo tu kwa soko ya wa iria ,kuna mafundi wa nduthi .pia rungu utaosha mchana .
Hapo sawa nitapitia hiyo chuom
Huko ni Embu. Huyu ako Kenol ya thika rd
Kunguru za kenol ni mchele gang…
Extremely dangerous and unregulated wiminz.
I meant ile club inaitwa kenol ya Embu town. Huwa imejaa ma stude wa uni za uko. I once checked in there at 3pm from Nanyuki nikapata salsa imeshika vibaya sana na ma vitu safi safi
Io breed sijui imetokanga wapi…yaani i think ni cross breed ya women from kiambu and murang’a town