Jambo members!!
Any recommendations for a place to spend a night in Murang’a town that charges 1000 & below. Bei ya mwananchi. Am new in this town.
Any contacts/phone numbers will help.
Thanks.
Jambo members!!
Any recommendations for a place to spend a night in Murang’a town that charges 1000 & below. Bei ya mwananchi. Am new in this town.
Any contacts/phone numbers will help.
Thanks.
You are not sure of yuaselefu. Utasaidika aje na haujitrust?
[ATTACH=full]402752[/ATTACH]
Nimepost mbili coz popote nitapata usaidizi itakuwa sawa. Its not a mistake nimeeka hizo mbili
You want to clean rungu after eating?
Not really. But nipate malazi mwanzo
Next to next to equity bank kuna rooms safi sana.
Room yoyote ya 1000 and below ni ya kudinya dem short time na kuishia. Ya kulala lazima ikua 10k and above. Kanyaga accelerator ya gari enda lala Isaac Walton embu rooms saffi sana na ubebe kunguru ya kenol usafishe nayo rungu.
Tafuta ile ime andikwa Mwangi bar, boarding, hostel and lodging
Kenol utapata nyumba ya 350. Even though ni ya mabati. Hio baridi itatwanga wewe hakuna tofauti na mlevi amelala kwa mtaro.
Ask for queens hotel next to club tikkers
Kunguru za Kenol huokotwa kwa pub gani
Adjacent to Isaacs Walton kuna Petrol Station cum Club inaitwa Kenol.
i think he meant kenol hii iko thicker road
I stand to be corrected.
Pale kwa mejja hapo nyuma kuna zingine chafu sana za 300.
Glory pub,lakini hazijui kuoga.
Hiyo place niliingia one time kunywa keg nikaibiwa everything, don’t know if I was drugged ama ni mashetani gani izo.
Hapo kwa soko ya wa iria ama? Kwa mejja ni wapi
Kenol ya Murang’a yes meeting place ya wakikuyu