Munisaidie kudai deni

After kutoka prison nilikua juu ya mawe. I went to the office of a senior elder in this Kijiji in a bid to get a gig and made by case.

The guy owns apartments which he is selling so he linked me with his marketing department ati they will handle me. That was a clear indication that he was avoiding me. Anyway ukiwa down kama mwanaume hakuna kubagua. Went there and the agreement was I get a client and after transaction nakula 5% of the selling price. It was a gentleman agreement haikua na paper work.

Nimehustle nikipiga mdomo kwa makanisa, acquaintances, former colleagues and relatives. Khupipi pia akaadvertise huko kwa cooperate. Finally my former boss agreed to buy. Everything went well the transaction was Successful but Sasa the guy has not honored his promise. It’s now two weeks nimekua nikimkol ananizungusha tu. He is a senior elder here and I respect him so I don’t want to go dirty and involve other entities.

My appeal is for him to honor his promise tumalizane.

I have recorded audio of the agreement.

Cc @Sidindi Bey, @uwesmake @Electronics4u @administrator @magreb

@ChifuMbitika lipa deni

Anika elder tuavoid hizi tabia

I second you bruh

@Karoga priss priss lipa deni buana

Anika yeye without shaming him he wont pay.

People are dishonest. Waah.

@Contractor lipa deni

Na kwasababu yuko hapa he should know am aware the apartment was bought at 7.2M. not 7M as him and his team are trying to insinuate. Wakitaka wanishike

@ChifuMbitika ripa ndeni wacha umauru

@Karoga ni peasant banae, haezi kua anauza apartments. Maybe Tecno za wizi and sell em to kina @Baby Panay

Kama hakuna written legal agreement wewe sahau hii maneno

:D:D:D:D:D…you got jokes man

Ongea na @PHARMACY ghasia ikule nyasi kama king Nebuchadnezzar Kwa book of Andrew chapter 13:7

:D:D:D unataka @ChifuMbitika akulishwe nyasi? @Jura sema nani huyo tumumalize sahu?

Hope si yule kijana billionaire babake yuko na biz coast( yule anapenda Godfather hat)

@Jimjones lipa deni buana.

Silipi, ng’o!

Lazima ikue @ChifuMbitika juu hajaonekana hapa na vile anakua idler wa kijiji kucomment kila mahali kama mama anatafuta udaku

Aii kwani elders kaa wote wako na apartment blocks.? Anyway msee alipwe 350k zake banaa, very unfair to misuse someone who is down hivyo.