mungu wa dennis okari haishi kayole

[ATTACH=full]91153[/ATTACH] mtu anachukua bibi yako akijua si mtu mzuri ata kidogo… maybe karma is finally reaching out to hoho…huyo mguyz na pesa yake yote angeweza kupata dame yeyote anataka lakini aliona tu achukue tu huyu wakanesa wa KTN ata jana akifanya special yake ya pokots alikuwa tu anaka hajawahi recover hiyo madharao…Mungu wa okari haishi kayole hiyo masaibu anapitia is because of what he did to this man na bado…[ATTACH=full]91138[/ATTACH]

4 Likes

villager unasumbua na upuss

Mbica ya wakanesa

mungich tumesema tutawanunulia ndoo ya arimis, mnasumbua!

3 Likes

hehe this guy ndio alijionea mwoto, after these pictures bado akapigwa sweep na jamaa ako nazo kwa parking yake :smiley:

[ATTACH=full]91154[/ATTACH]

[ATTACH=full]91155[/ATTACH]

[ATTACH=full]91156[/ATTACH]

[ATTACH=full]91157[/ATTACH]

wakienda honeymoon allegedly ililipiwa na Sultan mwenyewe

[ATTACH=full]91158[/ATTACH]

6 Likes

mtu ananunulia bibi yako porshe cayenne anakunyanganya bibi ukiona

3 Likes

:D:DHiyo title hunimalisa ati times. Doesit always have to be this way?

2 Likes

Hiyo story ya honeymoon was brutal

3 Likes

Bora Okari alimwaga ndaaaani hadi kwa intestines, mwanaume ni kumove on

23 Likes

Dennis Okari is one of my favorite journos on Kenyan TV; kwanza his documentaries are very resourceful and well edited. They dont have the madoido that we are exposed to by Ali on KTN. For instance last night’s documentary on Pokot-Marakwet clashes opened my eyes.

12 Likes

True that, if he could ensnare Betty Kyalo hawes shindwa kunasa mwingine

4 Likes

hadi Nyanchwani alimuonea huruma

1 Like

sawa

https://www.youtube.com/watch?v=cqT4gwczV8E

Siku hizi mapenzi pesa

1 Like

Hizi maneno mnajuanga for sure ama ni pang’ang’a?

Where there’s smoke there’s fire!!!

1 Like

Whores aint loyal…even with a ring. Pesa haitambui pete. Okari can easily get a younger and hotter girl mwenye hatamsumbua akili. Marryng a celebrity or public figure is like planting by the roadside.

6 Likes

Single mother sexpert

hizo kucha za uyo empress zmekataa na si kiwaru

2 Likes

Saa zingine stakangi kuimagine how it feels like kukuriwo bibi…it must be one of the most disheartening thing in a mans life…

2 Likes