[ATTACH=full]186800[/ATTACH]kati yenu huyu ni nani?
Njaa itamaliza waluhya…au wakisii!
Makucha iko na oil na kipara must be the one and only resident mechanic.
nimeona kwa gazeti nikajua tu lazima itafika hapa ilikua a matter of when not if!
na hiyo ugali atakula siku kadhaa. Itawekwa kwa fridge [SIZE=1](tool box)[/SIZE]
naona mmefika:D
Fala :D:D:D:D:D
[ATTACH=full]186812[/ATTACH]
What if meets why not??
Waluhya wanashida lakini si ya chakula.
ukiwa na WD40,huo ugali ni kionjo tu.Ndio maana kuna mtu huwa anashine kipara usiku akimulikwa na Gari.Hahitaji kuvaa helmet au kuwa na reflector.Ako na natural reflector.(Kipara).
I tend to believe so too… @introvert tuko pamoja?
:D:D:D
Dola ungainamtafuta soon atakuwa kwa billboard all over[ATTACH=full]186816[/ATTACH]
We sisi hatuna shida ya tumbo. Tunapenda coomer pekeyake
Hawa ni wale hawapendi wastage.
@introvert hii watu tamalisa wewe. Itabidi uchinjie hawa tortoise!
@introvert pitia dola unga
:D:D:D:D
Aki.
Sina Amani siku izi ata nus gorogoro.
Hiyo ugali imejaa majasho bado watakula? :mad: