Munatoa wapi hii nguvu?

1 Like

Crocodile tears

Utamu wa mapenzi haufutiki kwa urahisi. Akikumbuka mahaba na maneno matamtam, machozi hayana budi kutiririka.

Tattoo, nose ring, multiple piercings kwenye masikio na multiple finger rings, nina hakika ako na pete kwenye kitovu pia. Hizo ndizo zamtia dosari. She is beautiful though so like any other sane man, I can’t mind kusongesha mileage once.

1 Like

Mimi Mahali Zakayo amenifikisha I am too worn out psychologically ,kulia mambo ya upuzi . Nakublock and I forget you like there’s no tomorrow. Hii ni ujana inamsumbua,too much energy. Aki nijikute nikililia mwanaume sio babangu au damu yangu. Total nonsense. Wanaume ni watu wa kukufanya ushinde ukulia surely? Ache upuzi. Pia Sisi tumewahi pendwa au kupenda but we move on like an ambulance :ambulance:

Hizo masharti zenu ata Yesu Hana. Ati Pete and piercings? Si ni ulimbende?

1 Like

This topic was automatically closed 365 days after the last reply. New replies are no longer allowed.