“Sina haja ya kukufuata wewe au mikutano ya Jubilee. Sina haja na mualiko wako au wa Jubilee kuhudhuria mikutano. Sina haja na kugombana na wewe wala chama chako cha Jubilee. Ila ni wajibu wangu kuwafuata wananchi walionipigia kura mimi Gavana wao wa Mombasa. Na kama umekasirika pasuka!”
I am certain of one; that Uhuru is winning the August elections. And if Joho should not win, which is becoming more likely by the way, he will have the most terrible life of as a civilian than he can imagine!