Mumama says Kuja kwangu utengeneze TV

this mumama came in my main shop she looked in her late thirties
mumama: mambo
fundi: poa
mumama: unatengeneza tv
fundi: eeh kila kitu, enda ulete, shida iko wapi.
mumama: uki connect kwa wifi haifanyi( red flag).
fundi: hio ni rahisi ni input options unafaa ku change, leta nikufanyie
mumama:(suggestively) siukuje kwangu utengeneze ni hapa juu tu hata nitakulipia transport
fundi: hio hapana kitu ikiwa na shida unaleta kwa workshop.
mumama: (leans across my counter) tafadhali kuja utengeneze
fundi: hapana wewe leta
mumama:(annoyed) leaves.

Siezi enda kwa nyumba ya mumama ku fix anything, i have heard a lot of horror stories from before. I have also informed the other technicians who work for me about this, haikosi ningeenda hapo ndume tano zinge tokea mmoja aseme nimekula bibi yake. BE CAREFUL!

10 Likes

Wewe ni fundi MNOMA kweli kweli.

Hapo wangeitisha birrions ama waku chomee jina kwa madai wewe ni mla mabibi ama wakufanyie kitendo uishi uki regret. AMa wakuite jambas upigwe mob justice.

I wish ADAM pale Genesis, angekuwa na uwezo wa kusema no. Sasa alituweka kwa mess haishangi.

1 Like

You can never be too careful, am not broke so maybe it was a planned roberry, the issue was too minor that a neighbour/friend/realative could fix it heck even an 8 year child, I also know my luck and there was no way that mumama was into me am not that lucky.

12 Likes

2 Likes

why would you post yourself?

13 Likes

Umemop calabash sana, take a break

9 Likes

hiyo trick imekuwa rampant… anapiga nduru maninja wanatokea nowhere.. utafinywa makei hadi utoe life savings

8 Likes

Sababu ingine ya kuogopa wanawake.

My PA alinisho akona baby fever tukiongea ongea tu.. ilikuwa after nme come na my last born job. last two days amekuwa anafika late kwa ofisi saa zile niko solo majioni. Naona hatari sana.

2 Likes

Kiasi kiasi umeingia scandal tunakuona kwa news na panga kwa diabas.

6 Likes

Hapo ulicheza poa…mmama si hata angeuliza chatgpt…hii dunia I swear

3 Likes

weka cctv kila mahali

2 Likes

You would have been oiled up, fucked, milked dry, and possibly spanked very hard.

At least you are not deluded unaelewa your position in the mating hierarchy.

2 Likes

Ingekuwa kuwa mimi ningefikiria na dick nijipate kwa ngori baadae

6 Likes

Kaka mtingiza, unaeza kuwa na female employees vile huwa unatakanga na ukuwe boss wao kweli? Kama hujawafanya wives

am a rich man, not a beautiful man.

2 Likes

Siwezi kunia mahali nalala elder. Hata madem huwa sikatii in the town that i live in. Me hucheza away match

4 Likes

Hapo uko sawa kabisa…

The kid is beautiful, his beauty gets him a few pilsners, muelewe… His line of thought is always skewed toward that angle.
Ama vipi @Gaines ?

1 Like