Mlisema bahari haihami sawa decided to go the other end of the same ocean
[ATTACH=full]73910[/ATTACH] [ATTACH=full]73909[/ATTACH] [ATTACH=full]73911[/ATTACH] [ATTACH=full]73912[/ATTACH]
at least hukuweka mguu umemwagikiwa na supu:D
:D:D:D @jaymoh weka mguu ndio tujue ni wewe cha ukweli
hizo kuku ziko pic one mtu akipika na ugali kilo moja na sukuma na pilipili unaweza meza gilbeys mzinga .
hapa uwes ukikam unaweza safisha macho irudi ikiwa white yote
Compared to our public beaches hapa 254,cleanliness huko iko standard ya juu,i bet they clean theirs regularly,hapa msa county ni kuclean once a year
first ukiangusha takataka hio ni police case, unafaa kuweka kwa dust bins or a fine of 200 aed=200*27
kupiga piga picha pia ni fine
kuangalia wanawake sana unaweza shtukia umeeda kusafishia macho mbele, plain cloth police everywhere
Kama zile za @Kasighau?
Weww kijana, nitakwambia mara ngapi unifanye Elder, brary computer geek
:)na ajue kuna watu hu-archive picha za miguu ya wenyewe…
Yaani red-eye itatafishwa hadi iris pia iwe nyeupe?
Huyo ni yule afande, sio?
hiyo nayo unashtakiwa na ogling with intent/desire to commit a sin?
:D:D:D:D:D:Dhiyo deflection ni kali osiepna…
hehehe kuna time mse i think ni @Deorro alipiga picha mguu yake BLACK ikajipata hapa. at least wewe uko na adabu…
enjoy fellow villager!
Hehehehe nilikuambia ukinipatia Cess nakuweke uwe village sponsor kama @Meria Mata uruke Elder
na kwenu ni thika hapo juu ya barclays i know u
Cheza chini buda ni Christmas
Yaani ushaanza kukula mshahara na hujalipwa pay check. Enda pole pole brathe.
kama envelope nimelie low:D
yaani @Deorro akikanyaga njia ya marrum inakuwa lami?