Naskia eti wameanza kuhema hema huko Court of appeal mpaka they are seeking adjournment sijui ndio wakuje Na mbinu gani.
Hiyo speech ya the KING Ni Kama iliweka hata korti njeve aisee…
Walimu watakiona…hii Ni funzo.
Naskia eti wameanza kuhema hema huko Court of appeal mpaka they are seeking adjournment sijui ndio wakuje Na mbinu gani.
Hiyo speech ya the KING Ni Kama iliweka hata korti njeve aisee…
Walimu watakiona…hii Ni funzo.
Upuus
Iko live kwa TV?
Think so. Wasee wenye wamebakisha ka kitu wameniambia hivyo wakitoka vibandani lunch. Sisi tumeinua miguu hapa chini ya kivuli mpaka end month
Panic button pushed. It’s like they knew they would lose the case at the Court of Appeal.
ION, Mullah is overrated.
Wanarudi tuu thate
yeah he is very overrated. he used to be an attack dog.
teachers hawana bahati
Ruling on adjournment or not is at 2:30PM, its live on all TV… Issue is the statement ya Kamwana… Muite also wants the judges hearing the case increased from three to five or seven… Waaaah! Sema watu Kupanick…waalimu hawatatoboa hii…
Now where are those hoes? Na mkuje bila fuxdhii!
:DHe said the word ,Mullah sio Muite…
Haiii! Wameshuta #$***(00N>
Its rather obvious the judges will now “see” the economics in paying teachers their increment! That speech however useless it was, imeshika watu makende! Corruption and threats are rampant in courts, we all know what the verdict will be.
Am glad you see the way I and a few wise ones do. I hope those teachers that say “jumbilee serekali yetu” learn a lesson. Those are the first lot of voters to be fucked indiscriminately by the tyranny of numbers.
Watamu ni kutamu, nyie endeleeni kulala tu kwa kivuli ya mnazi
People never learn, wacha wapewe shaft kwa rasa ndio wajue politics ya numbers vizuri. Anyway, i think kenyans wengi are just danderheads, after all this drama and many more yet to come, siku ya kura we will all be back to our tribal kingpin. At times I think we need more than prayers
Mtanibrief maze bado sijanunuaga setbox… Mpaka niconfirm si illuminati…
:D:D:D
what is this bs you are spewing?
you want to tell me come 2017 the teachers from jubilee strongholds will not vote for uhuruto?
stop kidding.
A t
A teacher knows not the Tyranny of numbers.Ni mwalimu regardless of region.when there is apush for money ako kikiumana anarudi darasani sossion apange mgomo ingine agome alafu arudi its a cycle.Mwalimu hanaga beef na serikali
Kuna judge hapo anakipara kuliko ya obako.
Court adjourns TSC’s appeal hearing to 29th September 2015, Chief Justice Willy Mutunga to decide whether the matter will be heard by a 5-judge bench.