Mtoto wa Diana tribulations in the hands of ODM thugs

[ATTACH=full]451410[/ATTACH]

:D:D:D kijana nini inamsumbua kweli si aendelee to ku make music sahi nini anakimbiza

ODM promised him Mathares sear

Watu waache upuss. Huyu ODM goons wangemtemvelea angekuwa anaongea saa hii kweli? Aulize Magerer Langat the capabilities of ODM goons. He was “escorted” out of Orange House in 2014 na mpaka wa leo hajawahi kanyaga huko tena.
On fact mkitaka mkosane suggest to him akusindikize orange house

Hana bahati kwenye siasa

Siasa ni chafu na hatapenda

Our politics is not for nice guys, because it’s about might, not right. So it naturally favours thugs. If he wants to be respected as a politician he must surround himself with some decent looking goons–his “team of helpers”, but goons all the same. Terrible, but it’s what it is.

Even in the so called western democracies we are now able to see how nasty they operate.
No Wonder one of them coined the phrase -politics is a dirty game-

Certainly

Amelia sana. Like a kid in need of a diaper change

Bahati Hana bahati kwa siasa

Akalilie huyo poko wake !

Huyo hakuna kitu alifanywa. Akicheza men ni black watanyoa hizo dredi na mikono.

:D:D

Atoe ngoma juu ya hio story

:D:D:D:D:D:D:D