Mtoto Anyolewe Nywele

In my many blunders last year i impregnanted this girl from Nyanza. She delivered a few weeks ago with a son. Last week she told me nimpe 5K apeleke mtoto anyolewe nywele. Money is not the problem am worried what the kunyolewa nywele entails. I fear its a dangerous cultural practice that can reduce the bond of me and my son.

Advice elders please

4 Likes

Usiwe na Shaka, a friend from those sides told me mtoto hupelekwa kunyolewa ili kama motto si wa bwana yake Mtoto atakufa after kunyolewa

4 Likes

What entails kunyolewa. Nikunyolewa then nini?.. what if asinyolewa

4 Likes

Kunyoa nywele ya kichwa, they also believe asiponyolewa atakufa pia. Pea dada pesa

2 Likes

Akinyolewa ndio atakufa ama asipo. Kwani ni Samson. Hii vimila yawaah

6 Likes

Wao husema example wife yangu apeleke mtoi wetu kunyolewa na Bibi alicheat mtoi si wangu , akinyolewa atakufa

2 Likes

Damned if you hairdo, damned if you hairdon’t.

images (4)

7 Likes

3 Likes

:laughing:
:laughing: :laughing:

2 Likes

Niaje kafukuswi

4 Likes

Ignore her, nothing will happen

2 Likes

Na kama uko na mtoto mdogo ivo hufai kutomba lanye before mtoi agrow grow. Ukicheza nje pia kaputt. Boychild under siege :joy::joy:

Pesa kidooogo. Peana buana

2 Likes

Kinuthia malaya mgani leo amebreak your heart?